AZAM KUKIPIGA LEO DHINI YA HORSEED
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.KIKOSI cha Azam FC leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Horseed FC katika michuano ya Kombe...
CAF YAZUIA MASHABIKI YANGA
Mwandishi wetu.SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limezuia watazamaji katika mechi ya kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya wenyeji, Yanga SC...
HANSPOPE AFARIKI DUNIA
DAR ES SALAAM.Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya klabu ya Simba, Zakaria Hanspope amefariki dunia leo katika hospitali ya Agha Khan alipokuwa amelazwa..
BIASHARA UTD YAICHAPA 1-0 FC DIKHIL KWAO
Na: Stella Kessy.TIMU ya Biashara United leo imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, FC Dikhil katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali...
HITIMANA AONGEZWA BENCHI LA UFUNDI SIMBA
Na: Mwandishi wetu,DodomaKLABU ya Simba imeimarisha Benchi lake la ufundi kwa kumteua kocha Hitimana Thiery kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo inayoshiriki Ligi ya...
MASHABIKI YANGA RUKSA MECHI DHIDI YA RIVERS UTD
Mwandishi wetu.KLABU ya Yanga SC imeruhusiwa kuingiza mashabiki katika mchezo wake dhidi ya Rivers United ya Nigeria.Kikosi cha Yanga kitakuwa mwenyeji wa mchezo huo...




