AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 0:0 NA NAMUNGO FC RUANGWA.
RUANGWA, LINDI.TIMU ya Azam FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni...
TFF YATANGAZA KUTHIBITISHA TIMU NNE ZITASHIRIKI MICHUANO YA AFRIKA MSIMU UJAO,...
DAR ES SALAAM.Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetanga kuwa timu nne nchini zitashiriki michuano ya Afrika msimu ujao ambapo timu mbili zitacheza Ligi...
SERIKALI YAZITAKA SHULE KUTENGA MAENEO MAALUM YA MICHEZO.
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Caroline Nombo akizungumza na wachezaji wa Netiboli wa mkoa...
TIMU YA YANGA YAILAZA RUVU SHOOTING 3-2 DIMBA LA MKAPA.
DAR ES SALAAM. Klabu ya Yanga imefanikiwa kuinyuka Ruvu Shooting kwa mabao 3-2 kwenye uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam ambapo...
PROF. MAKUBI ASHIRIKI BONANZA LA MAZOEZI JIJINI DAR.
DAR ES SALAAM.Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi leo ameshiriki Bonanza la Mazoezi ya kutembea lililoanzia Mlimani City Dar kwa ajili ya...