Home SPORTS BIASHARA UTD YAICHAPA 1-0 FC DIKHIL KWAO

BIASHARA UTD YAICHAPA 1-0 FC DIKHIL KWAO

Na: Stella Kessy.

TIMU ya Biashara United leo imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, FC Dikhil katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa El Hadj Hassan Gouled Jijini Ville de Djibouti nchini Djibouti.

Bao pekee la Biashara United katika mchezo huo limefungwa na beki Denis Nkane dakika ya 52 na sasa timu hizo zitarudiana Septemba 18 Dar es Salaam.

Hata hivyo Mshindi wa jumla atakutana na mshindi kati ya Hay Alwady Nyala ya Sudan na Al Ahli Tirpoli ya Libya.

Previous articleKIWANDA CHA MBASIRA FOOD NI FURSA MPYA YA SOKO LA MAZAO RUKWA.
Next articleHANSPOPE AFARIKI DUNIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here