WAZIRI MKUU AMWAGIA SIFA MKURUGENZI MKUU STAMICO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa amevutiwa na utendaji na mafanikio iliyopata Shirika la Maendeleo la Taifa (STAMICO) kwa kipindi...
TUME YA UMWAGILIAJI YAZIDI KUPIGA HATUA YAFIKISHA MIRADI 783 NCHINI
Na Hughes Dugilo -IRINGA
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imepiga hatua kubwa katika utekelezaji miradi yake nchini, ambapo katika kipindi cha uongozi wa Dkt....
WAFANYABIASHARA MKOANI KILIMANJARO WASISITIZWA KUENDELEA KULIPA KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu ametoa hamasa kwa Wafanyabiashara Mkoani hapo kuendelea kulipa kodi stahiki ili maendeleo ya nchi yazidi kupatikana.
Kauli...
VIJANA ‘KANDA MAALUM’ MARA KUFUNDISHWA UKARIMU KWA WAGENI
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Serengeti, Victor Rutonesha akizungumza na wanahabari ofisini kwake.
Exuperius Kachenje, daimatznews@gmail.com
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, imeanza kutoa...
NGOME YA JESHI LA UJERUMANI KIVUTIO KIPYA CHA UTALII WA NDANI...
Na Mwandishi Wetu
Ngome ya Jeshi ya zamani maarufu kwa Jina la Fort Ikoma iliyopo ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti, imetajwa kuwa...
SERIKALI YATAJA FURSA NA MANUFAA YA USIMAMIZI WA MNYORORO WA UGAVI
Na: Hughes Dugilo, MOROGORO
Imeelezwa kuwa uwepo wa dhana ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi unaweza kuwa na manufaa makubwa kwa Serikali, kama ilivyo kwa...