BUSINESS
Home BUSINESS
WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO UENDESHAJI MRADI WA SGR
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR...
MAKATIBU WAKUU WA BIASHARA WA AFRIKA WATAKIWA KUTEKELEZA AFCFTA KWA VITENDO
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah na Mwenyekiti wa Mkutano wa 19 wa Kamati ya Makatibu Wakuu wa Eneo...
ORYX GAS YASISITIZA MATUMIZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Oryx Gas Tanzania, Benoite Araman (kulia) akielezea mchango wa Kampuni hiyo katika kufanikisha jitihada za Serikali za kuhamasisha matumizi...
NHC YAANIKA MIKAKATI KUWAFIKIA WANANCHI WA KATI NA CHINI KUMILIKI...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC, Ahmed Abdallah Ahmed, akizungumza na waandishi wa Habari (Wamo pichani), mara baada ya kutembelea Banda...
CCM YASISITIZA UMUHIMU WA KUKUZA SEKTA BINAFSI,UWEKEZAJI
Na: Mwandishi Wetu,Tanga
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)kimesema kwamba hakutakuwa na mabadiliko ya kweli katika kukuza uchumi wa nchi, endapo sekta binafsi hazitapewa kipaumbele katika uwekezaji...
TUFANYE KILIMO RAFIKI ” WATAALAMU SUA”
Katika kukabilina na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi yanayoikumba nchi na Dunia kwa ujumla, watanzania wametakiwa kufanya kilimo, uvuvi na ufugaji rafiki...