RAIS SAMIA ATEMBELEA MRADI WA REA SIMIYU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea mradi wa nishati safi ya kupikia wa shule ya Sekondari ya...
MAGEUZI KARIAKOO: NYUMBA ZOTE MBOVU KUVUNJWA
Dar es Salaam, Juni 16, 2025 –
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeanza rasmi utekelezaji wa mpango mkubwa wa kuibadilisha kabisa sura ya...
BALOZI NCHIMBI: FIDIA MIFUGO ILIYOTAIFISHWA IHITIMISHWE
Asema ni muhimu kutekeleza maamuzi ya mahakama_
_Kampeni ya ‘Tutunzane’ itumike pia kwenye siasa_
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi,...
WATUMISHI WA BRELA WAPATIWA MAFUNZO YA UKIMWI NA MAGONJWA YASIOAMBUKIZWA
DAR ES SALAAM
Dar es Salaam, Juni 14, 2025 – Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wamepatiwa mafunzo maalum kuhusu udhibiti...
AviaDev AFRICA 2025 MAFANIKIO MAKUBWA USAFIRI WA ANGA, UTALII ZANZIBAR;
ZANZIBAR
Mkutano wa hivi karibuni wa AviaDev Africa 2025, umekuwa mkutano wenye mafanikio makubwa katika sekta ya usafiri wa anga.
Mkutano huo uliosimamiwa na Kampuni ya...
AKIBA COMMERCIAL PLC YASHIRIKIANA NA TIA KUPANDA MITI 1,500 KATIKA KAMPENI...
Dar es Salaam, 13 Juni 2025: Akiba Commercial Plc imeonyesha dhamira yake endelevu ya kutunza mazingira kupitia zoezi la kupanda miti kwa ushirikiano na...