ENNA SIMION
MHE.BASHE AKIFANYA ZIARA KITUO CHA UNUNUZI WA MAHINDI RUVUMA
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amefanya ziara ya ukaguzi katika Kituo cha Ununuzi wa Mahindi cha Kizuka, Mkoani Ruvuma tarehe 18 Septemba...
MAHINDI YASIYO NA UBORA KUTAFUTIWA SOKO KWA AJILI YA MIFUGO
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amewahamasisha wakulima wa mahindi mkoani Ruvuma kuhifadhi mahindi ambayo hayana kiwango, zikiwemo pumba, ili kutafutiwa soko kwa...
WATAALAMU WA KISWAHILI WATAKIWA KUTUMIA FURSA ZA KISWAHILI NJE YA NCHI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Walimu na wadau wa lugha ya Kiswahili kuona fursa za kufundisha lugha hiyo...
MASHINDANO KNK CUP 2024 YAHITIMISHWA, MABINGWA WA BUKOMBE, KARAGWE KUCHUANA
* Mshindi wa Kwanza anyakua kitita cha milioni 5*
* Simba, Yanga Wateka Vijana wenye Vipaji*
Mashindano ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu Waziri Mkuu...
WANAKIJIJI WA UCHAMA MAENDELEO NI HATUA, SERIKALI IMEDHAMIRIA KUWALETEA NEEMA ZAIDI...
Vijiji vya Undomo na Mbogwe vilivyopo katika Kata ya Uchama, Wilaya ya Nzega vimeahidiwa kujengewa Kituo cha Zana za Kilimo na kupatiwa...
KUUZA NA KUHIFADHI MAFUTA YA PETROLI KWENYE MADUMU, CHUPA NI HATARI...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imewaagiza wamiliki wote wa vituo vya mafuta ya petroli nchini kuhakikisha wanachukua hatua stahiki...