Home ENTERTAINMENTS RAIS SAMIA AMKABIDHI CHETI MUIGIZAJI MAARUFU WA FILAMU NCHINI CHINA JIN DONG...

RAIS SAMIA AMKABIDHI CHETI MUIGIZAJI MAARUFU WA FILAMU NCHINI CHINA JIN DONG KUWA BALOZI WA UTALII NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Muigizaji maarufu wa Filamu nchini China, Jin Dong cheti cha Ubalozi wa Heshima wa Kutangaza Utalii wa Tanzania nchini China wakati alipotembelea Jiji la Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.

Previous articleTWIGA MINERALS CORPORATION KINARA TUZO YA UTOAJI BORA WA GAWIO KWA SERIKALI
Next articleBALOZI SHELUKINDO AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE YA INDONESIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here