Home LOCAL WAZIRI MKUU ATOA TUZO ZA MALKIA WA NGUVU

WAZIRI MKUU ATOA TUZO ZA MALKIA WA NGUVU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi, Khadija  Mfaume Liganga, tuzo ya mshindi wa jumla ya Malkia wa Nguvu  2024   katika hafla ya utoaji tuzo za Malkia wa Nguvu 2024 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kwa Tunza jijini Mwanza, Mei 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza   katika hafla ya utoaji tuzo za Malkia wa Nguvu 2024 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kwa Tunza jijini Mwanza, Mei 18, 2024.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo za Malkia wa Nguvu 2024   katika hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kwa Tunza jijini Mwanza, Mei 18, 2024. Waliokaa kutoka kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa  Mwanza, Michael Lushinge, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, Mkurugenzi wa Cloud Media , Sheba Kusaga na Naibu Waziri  Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Previous articleKIWANDA CHA KWANZA CHA KIZALISHA SARUJI NYEUPE CHAZINDULIWA
Next articleSOMA HABARI MAGAZETI YA LEO  JUMATATU MEI 20-2024
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here