LATEST ARTICLES

NHC INAVYOKWENDA KUGEUZA ENEO LA URAFIKI KISASA

0

 Na mwandishi wetu UKIONA vyaelea ujue vimeundwa! Hii ndiyo methali inayoweza kuelezea hatua ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kununua eneo la Urafiki lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kwa lengo la kufanya uwekezaji mkubwa unaolenga kuboresha mandhari na maisha ya wananch. NHC imejipatia sifa nzuri miongoni mwa Watanzania kutokana na ubunifu wake, utekelezaji, na usimamizi wa miradi...

NHC INAVYOKWENDA KUGEUZA ENEO LA URAFIKI KISASA 

0

 Na mwandishi wetu UKIONA vyaelea ujue vimeundwa! Hii ndiyo methali inayoweza kuelezea hatua ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kununua eneo la Urafiki lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kwa lengo la kufanya uwekezaji mkubwa unaolenga kuboresha mandhari na maisha ya wananch. NHC imejipatia sifa nzuri miongoni mwa Watanzania kutokana na ubunifu wake, utekelezaji, na usimamizi wa miradi...

BANDARI YA DSM YAPOKEA MELI KUBWA YA MIZIGO 

0

Meli kubwa ya mizigo ya MSC ADU -V yenye urefu wa mita 294.1 na uwezo wa kubeba makontena 4000 ikiwasili katika Bandari ya Dar es Salaam jana. Mkuu wa Kitengo cha Uratibu kutoka Kampuni ya DP WORLD, Bw. Emmanuel Kakuyu (kushoto) akizungumza na Meneja Mizigo Mchanganyiko wa Bandari ya Dar es Salaam chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini...

UN WOMEN’S YATOA MAPENDEKEZO YAKE YA MISWADA YA UCHAGUZI NA VYAMA VYA SIASA 2023 KWA MLENGO WA JINSIA

0

Mwezeshaji na Mtaalam Kutoka Chuo Kikuu Huria Tanzania, aliyeongoza kuandaa miswada mitatu ya uchaguzi na vyama vya siasa, 2023 katika mlengo wa Kijinsia. Dkt. Victoria Lihiru, akitoa mada juu ya uchambuzi na mapendekezo ya miswada hiyo kwa Wahariri wa Habari, katika Kikao kazi kilichoandaliwa na UN WOMEN'S chini ya Mradi wa 'Wanawake Wanaweza' mradi wa Uongozi na Haki za...

UN WOMEN YASISITIZA KUFANYIWA KAZI MAPENDEKEZO YA KONGAMANO LA AfCFTA LILILOFANYIKA JIJINI DAR

0

Mwakilishi Mkazi wa UN Women Tanzania Hodan Addou (kushoto) akizungumza alipokuwa akiongoza mkutano wa wanawake kutoka katika nchi mbalimbali Barani Afrika kujadili changamoto zinazowakabili wanawake na vijana katika Biashara na kupokea maoni ya wadau hao namna ya kufanyiakzi changamoto. Kikao hicho kilifanyika Septemba 14,2022 wakati wa kuhitimisha Kongamano la Afrika la Wanawake na Vijana katika Biashara chini ya Sekretarieti...

MAKALLA:DARAJA LA KIGONGO BUSISI , MRADI SGR NA MELI ITACHOCHEA BIASHARA

0

Ampongeza Dr samia kwa kuwezesha utekelezaji wa miradi mikubwa USAGARA: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), *CPA Amos Makalla* amesema kukamilika kwa daraja la Kigongo -Busisi, mradi wa SGR na meli itachochea biashara na kukuza uchumi wa wananchi wa kanda ya ziwa. Pia amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha utekelezaji wa miradi hiyo...

ULEGA AWATAKA WAKANDARASI DODOMA RING ROAD KUONGEZA KASI

0

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya jiji la Dodoma (km 112.3) ambapo kwa sasa umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake. Ulega ameeleza hayo leo Mei 21, 2025 jijini Dodoma wakati alipokagua hatua za maendeleo ya mradi huo ambapo amewaagiza wataalam wa Wakala wa Barabara (TANROADS)...

NHC YAIN’GARISHA MASASI

0

-Jengo la Sh2.7 bilioni lazinduliwa -Kukamilika Septemba  -Wapangaji wameshajaa Mwandishi Wetu Mei 18,2025 ni siku ambayo NHC imeandika historia mpya kwa mji wa Masasi, wilayani Masasi mkoani Mtwara. NHC imeandika historia hiyo kwa kuzinduliwa ujenzi wa jengo jipya, ambalo ni Kituo cha Biashara, Masasi Commercial Complex lililowekwa jiwe la msingi na kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025, Ismail Ali Ussi. Jengo...

CWT KUCHAGUANA MEI 29

0

: Suleiman Mathew Ikomba, Makamu wa rais wa CWT ambaye anagombea U rais wa chama hicho kwa sasa Joseph Masolwa Misalaba, Kaimu katibu mkuu na Mgombea wa ukatibu mkuu Nashon Amos Kidudu, Kaimu mweka hazina na mgombea wa nafasi hiyo tena ............  Na. Mwandishi wetu, Chama cha walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kufanyika kwa mkutano mkuu wa chama hicho tarehe 28 na 29 mwezi mei...

WASANII WAASWA KUSAJILI KAZI ZAO, MUZIKI WATAJWA KUWA BIASHARA YENYE  THAMANI KUBWA

0

Na Mwandishi Wetu, Dar  Wasanii wa muziki nchini wametakiwa kusajili kazi zao na kuzilinda kupitia mifumo rasmi ya miliki bunifu ili kunufaika kiuchumi na kulinda kazi zao dhidi ya wizi wa ubunifu. Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa, katika maadhimisho ya Siku ya Miliki...

NCAA YANADI VIVUTIO VYA UTALII MAADHIMISHO YA SIKU YA NYUKI DUNIANI YALIYOFANYIKA DODOMA

0

Na Philomena Mbirika, Dodoma Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetumia fursa ya maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani yanayofanyika jijini Dodoma kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana katika Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro. Maadhimisho hayo yaliyoanza Mei 17 na kuhitimishwa leo Mei 20, 2025 katika Viwanja vya Chinangali Park Dodoma Mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano...