NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA KILIMO UGANDA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia, Masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis L. Londo (Mb) ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Kilimo, Maji, Mazingira na Maendeleo Vijijini na Mawaziri wa Mambo ya Nje uliofanyika jijini Kampala, Uganda. tarehe 10 Januari, 2025 Mkutano huo wa awali ambao ulikutanisha Mawaziri na Wakuu wa...
SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA UHAMIAJI – DKT. BITEKO
Aweka jiwe la msingi jengo la Uhamiaji na Makaazi ya Askari *Dkt. Biteko awapongeza uhamiaji kwa kutoa huduma nzuri Na; Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita imekusudia kuendelea kuboresha huduma mbalimbali za kiuchumi na kijamii zikiwemo huduma za uhamiaji nchini ili...
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AZINDUA TAWI LA NMB WETE, APOKEA VIFAA TIBA VYA MIL. 12
NA; MWANDISHI WETU, PEMBA MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Hemedi Suleiman Abdulla, amezindua Tawi la NMB Wete, lililopo Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, huku akiahidi kuwa SMZ itaendeleza ushirikiano wake na NMB, benki aliyoitaja kama kinara wa kusapoti jitihada za utekelezaji wa miradi mikubwa na ya kimkakati. Uzinduzi wa NMB Tawi la Wete umefanyika...
ASKOFU MALASUSA AIPA HEKO OFISI YA MSAJILI WA HAZINA
Dar es Salaam. Askofu Dkt. Alex Malasusa, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ameimwagia sifa Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa mageuzi makubwa na ya haraka yanayoendelea katika usimamizi na uendeshaji wa mashirika ya umma chini ya uongozi wa Bw. Nehemiah Mchechu, Msajili wa Hazina. Askofu Malasusa ametoa pongezi hizo leo, Januari 11, 2025, katika Ibada maalumu iliyoandaliwa...
DKT. JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI MIKUTANO YA UBORESHAJI WA KILIMO KAMPALA
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Chakula Afrika (Africa Food Prize Committee) na Mjumbe wa Bodi ya AGRA, anashiriki Mikutano mbalimbali kuhusu uboreshaji wa kilimo barani Afrika, kuelekea kupitishwa kwa Programu ya Kuendeleza Kilimo Barani Afrika (CAADP 2026 – 2035), Kampala, nchini Uganda. Mikutano hii itafikia kilele kwa kupitishwa kwa Azimio la Kampala,...