BALOZI WA JAPAN AMALIZA MUDA WAKE WA UWAKILISHI NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amemuaga Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yasushi Misawa anayetarajia kumaliza muda wake wa uwakilishi Januari 17, 2025. Mhe. Kombo ameishukuru Japan kwa kuwa miongoni mwa wadau wanaosaidia kufanikisha Miradi ya Maendeleo hapa nchini katika sekta mbalimbali ikiwemo miundombinu, biashara, afya, kilimo, nishati na elimu. Aidha, ameeleza...
MHANDISI JUMBE APELEKA MASHABIKI WA STAND UNITED GEITA, ZAWADI NONO WAKISHINDA
Mratibu wa safari ya mashabiki wa Stand United FC kutoka Shinyanga kwenda Geita ,Jackline Isaro akizungumza na waandishi wa habari Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mhandisi James Jumbe Wiswa, mdau mkubwa wa michezo, ameonyesha utayari wa kutunisha msukumo kwa timu ya Stand United FC na mashabiki wake, kwa kudhamini safari ya mashabiki wa timu hiyo kutoka mkoani Shinyanga kwenda...
MWAKA 2024 WAVUNJA REKODI KATIKA HISTORIA YA UWEKEZAJI NCHNI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika mkutano na wahariri na waandishi wa habari kuelezea mafanikio katika sekta ya Uwekezaji nchini. Mkutano huo umefanyika leo Januari 10, 2025 Jijini Dar es Salaam. PICHA NA; HUGHES DUGILO NA; Hughes Dugilo, DAR ES SALAAM. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo,...
AZAKI ZAWASILISHA MABORESHO MAONI DIRA 2050 KWA KAMATI YA TUME YA MIPANGO
Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society - FCS, Justice Rutenge, akizungumza katika mkutano wa Asasi za Kiraia AZAKi, uliolenga kuhakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uliofanyika leo Januari 10, 2025 Jijni Dar es salaam. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Stanslaus Nyongo, akizungumza alipokuwa akitoa hotuba yake katika mkutano huo...
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YACHUNGUZA VIFO VYA WATU WAWILI PEMBA
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeeleza kuwa inachunguza vifo vya watu wawili vilivyotokea hivi karibuni katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Januari 10, 2025, na Kamishna wa Tume hiyo Zanzibar, Khatib M. Mwinchande, tukio hilo limehusisha vifo vya Nd. Athuman Hamad Athuman (75) na Nd. Amour Khamis Salim (28), ambao walikuwa...