DKT.ABBASI:MIFUMO YA HAKIMILIKI KULINDA MASLAHI YA KAZI ZA SANAA

0

  Na: Mwandishi Wetu. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema  Serikali inaweka Mifumo bora kwa ajili ya kuboresha kazi za sanaa na kulinda masalahi ya Wasanii.  Dkt. Abbasi ameyasema hayo Mei 9, 2021 kwenye Iftar maalum iliyoandaliwa na Star Times kuzindua tamthilia mpya ya WE-MEN na Chaneli...

BENKI YA NMB YADHAMINI MASHINDANO YA KITAIFA YA SAYANSI,TEKNOLOJIA NA UBUNIFU

0

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Joyce Ndalichako (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya thamani ya sh milioni 15 kutoka kwa Mhazini Mkuu wa Benki ya NMB, Azizi Chacha jana kwa ajili ya udhamini wa mashindano ya Kitaifa ya Sayansi na Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yaliyoanza jana uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Wengine katika...

MAJALIWA AZUNGUMZIA SAKATA LA MECHI YA SIMBA NA YANGA, BUNGENI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  Bungeni jijini Dodoma kuhusu maagizo ambayo ameyatoa kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, juu ya sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ambayo ilipangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Mkapa  Dar es salaam, Mei 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Na.Alex Sonna,DODOMA.Waziri Mkuu Kassim...

IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA NCHI YA RWANDA

0

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kulia) akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda, Kamishna Jenerali Dan Munyuza, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi, wakuu hao pia walifanya kikao cha pamoja Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam ambapo walikubaliana kuendelea...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI 5 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula pamoja na Viongozi wengine kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ireland hapa nchini Mary O’nell Ikulu Jijini Dar es Salaam. Balozi Mteule...

KUTOKA MAGAZETINI J.TATU YA LEO MEI 10-2021.

0

 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.