Home LOCAL IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA NCHI YA RWANDA

IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA NCHI YA RWANDA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kulia) akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda, Kamishna Jenerali Dan Munyuza, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi, wakuu hao pia walifanya kikao cha pamoja Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam ambapo walikubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama ikiwemo udhibiti wa makosa ya uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji wa binadamu na biashara ya dawa za kulevya. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda, Kamishna Jenerali Dan Munyuza, ambaye yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi, wakuu hao pia walifanya kikao cha pamoja Makao Makuu Ndogo ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam ambapo walikubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya kiusalama ikiwemo udhibiti wa makosa ya uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji wa binadamu na biashara ya dawa za kulevya. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania

Previous articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI 5 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Next articleMAJALIWA AZUNGUMZIA SAKATA LA MECHI YA SIMBA NA YANGA, BUNGENI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here