LATEST ARTICLES

UN WOMEN’S YATOA MAPENDEKEZO YAKE YA MISWADA YA UCHAGUZI NA VYAMA VYA SIASA 2023 KWA MLENGO WA JINSIA

0

Mwezeshaji na Mtaalam Kutoka Chuo Kikuu Huria Tanzania, aliyeongoza kuandaa miswada mitatu ya uchaguzi na vyama vya siasa, 2023 katika mlengo wa Kijinsia. Dkt. Victoria Lihiru, akitoa mada juu ya uchambuzi na mapendekezo ya miswada hiyo kwa Wahariri wa Habari, katika Kikao kazi kilichoandaliwa na UN WOMEN'S chini ya Mradi wa 'Wanawake Wanaweza' mradi wa Uongozi na Haki za...

UN WOMEN YASISITIZA KUFANYIWA KAZI MAPENDEKEZO YA KONGAMANO LA AfCFTA LILILOFANYIKA JIJINI DAR

0

Mwakilishi Mkazi wa UN Women Tanzania Hodan Addou (kushoto) akizungumza alipokuwa akiongoza mkutano wa wanawake kutoka katika nchi mbalimbali Barani Afrika kujadili changamoto zinazowakabili wanawake na vijana katika Biashara na kupokea maoni ya wadau hao namna ya kufanyiakzi changamoto. Kikao hicho kilifanyika Septemba 14,2022 wakati wa kuhitimisha Kongamano la Afrika la Wanawake na Vijana katika Biashara chini ya Sekretarieti...

RAIS SAMIA ASHIRIKI IBADA YA KUMBUKIZI YA MIAKA 40 YA KIFO CHA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE, MONDULI MKOANI ARUSHA

0

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024. Rais wa...

WAZIRI MAJALIWA AKISALIMIANA NA WAJANE WA SOKOINE

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Moringe Sokoine, Nekiteto Sokoine (wa pili kushoto) na Napono Sokoine (wa tatu kushoto) walipowasili Monduli Juu kushirikiki Ibada ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya Kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, Aprili 12, 2024. Kushoto ni mtoto wa Hayati Sokoine, Namerok Sokoine.

KINANA KUWASHA RORYA, KUANZA ZIARA YA KIKAZI APRIL 14

0

Na: Mwandishi Wetu WAKATI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana akitarajiwa kuanza ziara Aprili 14, 2024 tayari kuna mtafaruku kwa makada wa Chama hicho tawala wilayani Rorya. Hatua ya kuibuka kwa hali hiyo inatokana na uamuzi unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kuzuia makundi mengine kutomuona kiongozi huyo atakapokuwa katika ziara hiyo...

KILELE MAADHIMISHO MIAKA 60 YA MUUNGANO KUFANYIKA UWAJANJA WA UHURU DAR ES SALAAM

0

Na: Georgina Misama, Maelezo Tanzania itafikisha miaka 60 ya muungano ifikapo tarehe 26 Aprili, 2024, sherehe za kilele cha maadhimisho zitafanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Aidha, uzinduzi wa sherehe hizi utafanyika tarehe 14 Aprili katika Uwanja wa Amani mjini...

SERIKALI KUANZA KUTEKELEZA MRADI BONDE LA MSIMBAZI

0

Na Georgina Misama, Maelezo Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini Tanzania (TARURA), inatarajia kuanza utekelezaji wa Mradi wa Bonde la Msimbazi jijini Dar es Salaam, kuanzia Jumatatu, tarehe 15 Aprili, 2024, kwa kubomoa nyumba katika eneo la Jangwani na kandokando ya mto Msimbazi. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Aprili 12, 2024 jijini Dar es salaa, Mkurugenzi...

MATINYI: JNHPP SIO CHANZO CHA MAFURIKO RUFIJI

0

Na Georgina Misama, Maelezo Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi amesema Bwawa la Umeme Julius Nyerere (JNHPP) halikusababisha mafuriko yanayoendela katika wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani na badala yake bwawa hilo limesaidia kupunguza muda ambao mafuriko hayo yangetokea kwa kukusanya maji. Matinyi amesema hayo leo Aprili 12, 2024 wakati akiongea na...