MAGAZETI YA LEO J.NNE MEI 11-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
WATU WENYE MATATIZO YA UGUMBA WAIOMBA JAMII ISIWATENGE.
Picha ya Maktaba.Na: Mwandishi Wetu, Mtimbira.HOTUBA iliyosomwa na jamii ya watu wenye matatizo ya ugumba katika Kata ya Mtimbira wilayani Malinyi,Mkoa wa Morogoro imemtoa machozi Diwani wa Kata hiyo Jane Komba pale walipomweleza namna jamii hiyo inavyonyasisika na kutengwa.Mbele ya Diwani huyo ambaye alimuwa mgeni rasmi katika mafunzo ya kuielimisha jamii namna inavyopaswa kuishi na jamii hiyo ya wagumba...
HALMASHAURI YA MALINYI KUWAKAMATA WAVAMIZI BONDE LA MAJI LA MWALIMU NYERERE.
Na: Mwandishi Wetu Malinyi.HAlMASHAURI ya Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro imesema, imeanza harakati za kuwakamata waliovamia hifadhi ya Bonde la Maji la Mwalimu Nyerere lililopo Wilayani humo kwa kufanya maendeleo ya kilimo na ufugaji.Imesema kuwa bonde hilo ambalo ni hifadhi ya kupeleka maji katika Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, Rufiji, hatua hizo kali zimeanza kuchukuliwa na tayari...
MISS DODOMA KUMENOGA.
Na: MWANDISHI WETU.Shindano la kumsaka mrembo atakaye wakilisha mkoa wa Dodoma katika kinyang'anyiro cha miss Tanzania mwaka huu limezinduliwa rasmi leo.Mchuano huo unatarajiwa kufanyika June 21jijini Dodoma ambapo warembo zaidi ya 20 watashindana katika jukwaa moja kutwaa taji hilo.Akizungumza na waandishi wa habari, mlezi wa shindano hilo Mbunge wa viti maalum Morogoro Norah Mzeru amesema tasnia ya urembo inahitaji...
MWANA DIPLOMASIA YA SHAHADA YA JUU JULIANA LUBUVA AMPONGEZA RAIS SAMIA.
Mwanadiplomasia ya Shahada ya Juu Juliana Lubuva ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee Kata ya Kijichi .aliyekoshwa na Hatua ya Rais Samia kukutana na wazee mwishoni mwa wiki iliyopitaNa: Mwandishi wetu.MWANA DIPLOMASIA ya Shahada ya Juu ambaye pia ni Naibu katibu wa Baraza la wazee Kata ya Kijichi Juliana Lubuva amempongeza rais Samia Suluha Hassan kwa...
DKT.ABBASI:MIFUMO YA HAKIMILIKI KULINDA MASLAHI YA KAZI ZA SANAA
Na: Mwandishi Wetu. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali inaweka Mifumo bora kwa ajili ya kuboresha kazi za sanaa na kulinda masalahi ya Wasanii. Dkt. Abbasi ameyasema hayo Mei 9, 2021 kwenye Iftar maalum iliyoandaliwa na Star Times kuzindua tamthilia mpya ya WE-MEN na Chaneli...