PROF.MKUMBO ATEMBELEA KITUO CHA WMA MISUGUSUGU MKOA WA PWANI

0

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof.Kitila Mkumbo (Kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) mkoa wa Pwani kuhusu namna zoezi la kuhakiki mita za maji linavyofanyika mara baada ya kutembelea leo Kituo cha Wakala wa Vipimo (WMA) Misugusugu Mkoa Pwani.  ...

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKIPIGA KURA UCHAGUZI DOGO JIMBO LA BUHIGWE.

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akipiga Kura ya katika Kituo cha kupiga kura Polling Station Wilayani Buhigwe MKoani  Kigoma leo Mei 16,2021 kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Buhigwe.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akipiga Kura ya katika...

MAGAZETI YA LEO J.PILI MEI 16-2021

0

 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

LEICESTER CITY YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA FA ENGLAND YAICHAPA 1-0 CHELSEA

0

LONDON.TIMU ya Leicester City imefanikiwa kutwaa Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea jana Uwanja wa Wembley Jijini London, Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee dakika ya 63, kiungo Mbeligiji, Youri Tielemans akimalizia kazi nzuri ya beki wa England, Luke Thomas. ...

SIMBA SC YAPOTEZA MCHEZO WAKE WA KWANZA ROBO FAINALI, YAFUNGWA 4-0 NA KAIZER CHIEFS.

0

JOHANNESBURGTIMU ya wekundu wa msimbazi Simba SC imepoteza mchezo wake wa ugenini wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika kwa kupokea kipigo cha mabao 4-0 na timu ya Kaizer Chiefs ikiwa ni mchezo wao wa kwanza wa hatua ya robo fainali katika Dimba la FNB Jijini Johannesburg Afrika Kusini.Mlinzi wa kati wa Kaizer Chiefs Eric Mathoho aliipatia timu yake goli...

TIMU YA YANGA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO FC RUANGWA.

0

Na: Mwandishi wetu, LINDI.Timu ya Yanga  ya Jijini Dar es Salaam imetoka Suluhu ya 0-0 na Timu ya Namungo FC iliyokuwa mwenyeji wa Mchezo huo uliopigwa Katika Dimba la Kassim Majaliwa Mjini Luangwa Mkoani Lindi.Katika mchezo huo timu zote zilionyesha uwezo mkubwa wa kumiliki mpira huku timu ya Yanga ikikosa nafasi kadhaa za kuweza kufumania nyavu za Namungo lakini...