Home SPORTS TIMU YA YANGA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO FC RUANGWA.

TIMU YA YANGA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO FC RUANGWA.

Na: Mwandishi wetu, LINDI.

Timu ya Yanga  ya Jijini Dar es Salaam imetoka Suluhu ya 0-0 na Timu ya Namungo FC iliyokuwa mwenyeji wa Mchezo huo uliopigwa Katika Dimba la Kassim Majaliwa Mjini Luangwa Mkoani Lindi.

Katika mchezo huo timu zote zilionyesha uwezo mkubwa wa kumiliki mpira huku timu ya Yanga ikikosa nafasi kadhaa za kuweza kufumania nyavu za Namungo lakini mpaka filimbi ya mwisho hakuna timu iliyoweza kupata bao. 

Kwa matokeo hayo  Yanga inaendelea kushikiria nafasi ya pili kwakukusanya jumla ya alama 52 ikiwa chini ya Simba inayoshikiria usukani wa ligi yenye alama 61. 

Previous articleMAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ALIVYOHITIMISHA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA BUHIGWE
Next articleLEICESTER CITY YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA FA ENGLAND YAICHAPA 1-0 CHELSEA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here