Home SPORTS LEICESTER CITY YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA FA ENGLAND YAICHAPA 1-0 CHELSEA

LEICESTER CITY YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA FA ENGLAND YAICHAPA 1-0 CHELSEA

LONDON.

TIMU ya Leicester City imefanikiwa kutwaa Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea jana Uwanja wa Wembley Jijini London, Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee dakika ya 63, kiungo Mbeligiji, Youri Tielemans akimalizia kazi nzuri ya beki wa England, Luke Thomas.


Previous articleSIMBA SC YAPOTEZA MCHEZO WAKE WA KWANZA ROBO FAINALI, YAFUNGWA 4-0 NA KAIZER CHIEFS.
Next articleMAGAZETI YA LEO J.PILI MEI 16-2021

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here