http://SIMBA YAFIKISHA ALAMA 40,SIMBA SC 1- SINGIDA BS 0.
Goli la Fabrice Ngoma limewahakikishia Simba SC waendelee kujikita kileleni baada ya kuvuna alama tatu dhidi ya Singida Black Stars.
Mechi ilikuwa tafu, Singida walijaribu kutoa ushindani mkali lakini hata hivyo, Mnyama alionesha ukubwa wake na kufanikiwa kutoka na ushindi huo.
Simba amefikisha alama 40 akiwa zake kileleni baada ya kukamilisha mechi 15 za mzunguko wa kwanza.