DAWASCO YAFIKA KWA WANANCHI KUTOA ELIMU MABADILIKO YA BILI ZA MAJI.

0

Baadhi ya Watumishi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wakitoa elimu ya mabadiliko ya usomaji mita na upokeaji wa bili za maji uliofanyika hivi karibun.  Na: Mwandishi wetu -Dar es Salaam .Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na zoezi la kutoa elimu kwa wateja wake...

NIC WADHAMIN DAR CITY MARATHON.

0

 DAR ES SALAAM.Shirika la Bima la Taifa (NIC) limedhamini mbio za Dar City Marathon zinazotarajiwa  kufanyika  tarehe 23 mwezi Mei mwaka huu katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kukuza vipaji vya michezo nchini.Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa Shirika...

SERIKALI KUPANUA WIGO WA INTERNET NCHINI KUANZIA 3G KWENDA JUU-WAZIRI DKT NDUNGULILE

0

WAZIRI wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia Mhe Dkt Faustine Ndungulile akijibu baadhi ya hoja za Wabunge Bungeni Jijini DodomaMbungewa Viti Maalumukupitia Asasi za Kiraia Tanzania Bara (NGOs) Mhe Neema Lugangira akisisitiza jambo  bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti yaWizara ya Mawasiliano na Teknolojia NA: MWANDISHI WETU, DODOMA. WAZIRI wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia Mhe Dkt Faustine Ndungulile amesema...

RAIS SAMIA WA TANZANIA NA RAIS MUSEVEN UGANDA WATIA SAINI UJENZI BOMBA LA MAFUTA DAR.

0

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungan wa Tanzania kwa  Rais Yoweri Museven wa Uganda, alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo Mei 20,2021 kwa ajili ya Utiaji saini Mkataba wa Nchi Hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi ...

CHADEMA YATOA POLE KIFO CHA MBUNGE WA KONDE MHE. KHATIBU SAID HAJI.

0

 Na: Mwandishi wetu, ZANZIBAR.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mheshimiwa Khatibu Said Haji Mbunge wa Konde kilichotea leo Mei 20 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Akiongea kupitia taarifa yake ya maandishi Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar Salum Mwalimu amesema kuwa Marehemu ameacha alama...

MAJALIWA: WAHARIRI ZINGATIENI VIWANGO NA UBORA KATIKA UANDISHI WA HABARI..

0

MOROGORO.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka  wahariri wa vyombo vya habari  wahakikishe wanazingatia weledi na maadili katika uandishi wa habari  ili umma uweze kupata habari zenye ubora.Ametoa wito huo leo Mei 20, 2021 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 10 wa Jukwaa la  Wahariri na kongamano la kitaaluma, Mkoani MorogoroAmesema kuwa utendaji unaozingatia weledi ni chachu ya kuimarisha uhuru wa vyombo...