Home LOCAL RAIS SAMIA WA TANZANIA NA RAIS MUSEVEN UGANDA WATIA SAINI UJENZI BOMBA...

RAIS SAMIA WA TANZANIA NA RAIS MUSEVEN UGANDA WATIA SAINI UJENZI BOMBA LA MAFUTA DAR.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungan wa Tanzania kwa  Rais Yoweri Museven wa Uganda, alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo Mei 20,2021 kwa ajili ya Utiaji saini Mkataba wa Nchi Hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi  la Afrika Mashariki.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda wakionesha Mkataba wa Nchi Hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la afrika Mashariki, baada ya kutia saini Mkataba huo leo Mei 20,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museven wakihutubia baada ya kutia saini Mkataba huo

Previous articleCHADEMA YATOA POLE KIFO CHA MBUNGE WA KONDE MHE. KHATIBU SAID HAJI.
Next articleSERIKALI KUPANUA WIGO WA INTERNET NCHINI KUANZIA 3G KWENDA JUU-WAZIRI DKT NDUNGULILE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here