HALMASHAURI YA MALINYI KUWAKAMATA WAVAMIZI BONDE LA MAJI LA MWALIMU NYERERE.

0
Na: Mwandishi Wetu Malinyi.HAlMASHAURI  ya Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro imesema, imeanza harakati za kuwakamata waliovamia hifadhi ya Bonde la Maji la Mwalimu Nyerere...

MISS DODOMA KUMENOGA.

0
Na: MWANDISHI WETU.Shindano la kumsaka mrembo atakaye wakilisha mkoa wa Dodoma katika kinyang'anyiro cha miss Tanzania mwaka huu limezinduliwa rasmi leo.Mchuano huo unatarajiwa kufanyika...

MWANA DIPLOMASIA YA SHAHADA YA JUU JULIANA LUBUVA AMPONGEZA RAIS SAMIA.

0
Mwanadiplomasia ya Shahada ya Juu Juliana Lubuva  ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee Kata ya Kijichi .aliyekoshwa na Hatua ya Rais...

DKT.ABBASI:MIFUMO YA HAKIMILIKI KULINDA MASLAHI YA KAZI ZA SANAA

0
  Na: Mwandishi Wetu. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema  Serikali inaweka Mifumo bora kwa ajili...

BENKI YA NMB YADHAMINI MASHINDANO YA KITAIFA YA SAYANSI,TEKNOLOJIA NA UBUNIFU

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Joyce Ndalichako (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya thamani ya sh milioni 15 kutoka kwa Mhazini...

MAJALIWA AZUNGUMZIA SAKATA LA MECHI YA SIMBA NA YANGA, BUNGENI

0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  Bungeni jijini Dodoma kuhusu maagizo ambayo ameyatoa kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, juu ...