LATEST ARTICLES

UN WOMEN’S YATOA MAPENDEKEZO YAKE YA MISWADA YA UCHAGUZI NA VYAMA VYA SIASA 2023...

0
Mwezeshaji na Mtaalam Kutoka Chuo Kikuu Huria Tanzania, aliyeongoza kuandaa miswada mitatu ya uchaguzi na vyama vya siasa, 2023 katika mlengo wa Kijinsia. Dkt....

UN WOMEN YASISITIZA KUFANYIWA KAZI MAPENDEKEZO YA KONGAMANO LA AfCFTA LILILOFANYIKA JIJINI DAR

0
Mwakilishi Mkazi wa UN Women Tanzania Hodan Addou (kushoto) akizungumza alipokuwa akiongoza mkutano wa wanawake kutoka katika nchi mbalimbali Barani Afrika kujadili changamoto zinazowakabili...

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATATU APRILI 22-2024

0
                 

FCT YAONGEZA UWAJIBIKAJI NA UBUNIFU KWA MAMLAKA ZA  WAFANYABIASHA 

0
KIGOMA  Kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa asilimia 97 ya mashauri yaliyowasilishwa kwenye Baraza la Ushindani nchini (FCT) kumechochea na kuongeza uwajibikaji kwa mamlaka za udhibiti...

WAZIRI MKUU AAGIZA TAARIFA MAALUM YA UDHIBITI WA UVUVI HARAMU

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi haijawasilisha hotuba...

WADAU WAENDELEA KUTOA MSAADA KWA WAHANGA WA MAPOROMOKO

0
Wadau Jijini Mbeya wameendelea kuwafariji wahanga wa maporomoko ya tope Itezi Mbeya, ambapo kampuni ya GR City Company limited imetoa kilo 500 za mchele,...

SERIKALI KUTOA VIWANJA 21 KWA WAHANGA WA MAPOROMOKO ITEZI – DKT. TULIA

0
Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akimshukuru Mhe. William Lukuvi kutoka Ofisi ya...

WAZIRI MKUU AWAAGA VIONGOZI WA DINI, UZINDUZI WA ROUTE YA SGR DAR – DODOMA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada maalum ya kuliombea...