MAGAZETI YA LEO J.NNE MEI 11-2021
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
WATU WENYE MATATIZO YA UGUMBA WAIOMBA JAMII ISIWATENGE.
Picha ya Maktaba.Na: Mwandishi Wetu, Mtimbira.HOTUBA iliyosomwa na jamii ya watu wenye matatizo ya ugumba katika Kata ya Mtimbira wilayani Malinyi,Mkoa wa Morogoro imemtoa ...
HALMASHAURI YA MALINYI KUWAKAMATA WAVAMIZI BONDE LA MAJI LA MWALIMU NYERERE.
Na: Mwandishi Wetu Malinyi.HAlMASHAURI ya Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro imesema, imeanza harakati za kuwakamata waliovamia hifadhi ya Bonde la Maji la Mwalimu Nyerere...
MISS DODOMA KUMENOGA.
Na: MWANDISHI WETU.Shindano la kumsaka mrembo atakaye wakilisha mkoa wa Dodoma katika kinyang'anyiro cha miss Tanzania mwaka huu limezinduliwa rasmi leo.Mchuano huo unatarajiwa kufanyika...
MWANA DIPLOMASIA YA SHAHADA YA JUU JULIANA LUBUVA AMPONGEZA RAIS SAMIA.
Mwanadiplomasia ya Shahada ya Juu Juliana Lubuva ambaye pia Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee Kata ya Kijichi .aliyekoshwa na Hatua ya Rais...
DKT.ABBASI:MIFUMO YA HAKIMILIKI KULINDA MASLAHI YA KAZI ZA SANAA
Na: Mwandishi Wetu. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali inaweka Mifumo bora kwa ajili...