Home LOCAL MAAFA HANANG: SERIKALI YAKESHA KUWEKA MIUNDOMBINU SAWA

MAAFA HANANG: SERIKALI YAKESHA KUWEKA MIUNDOMBINU SAWA

Kazi ya kuondoa tope katika Mji wa Kateshi Wilaya ya Hanang’ Mkoa wa Manyara imeendelea kufanyika usiku na mchana ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha mji huo unarejea katika hali yake ya awali baada ya kuharibiwa na maporomoko ya matope kutoka Mlima Hanang’ na kusababisha madhara ikiwemo vifo, majeruhi na uharibifu wa mali na miundombinu.

Previous articleWADAU WAENDELEA KUJITOKEZA KUCHAGIZA MAAFA HANANG 
Next articleSOMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO DISEMBA 6-2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here