SIMBA SC YAPOKEA KICHAPO CHA 1-0 NA MLANDEGE FC
Wekundu wa Msimbazi Simba SC imepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa timu ya Mlandege FC katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi CUP yanayoendelea...
SIMBA SC YAFIKISHA ALAMA 6, IKIICHAPA VIPERS 1-0 MICHUANO YA CAF
Timu ya Simba SC imefanikiwa kusogea hadi nafasi ya pili ya Kundi C kufuatia kuichapa timu ya Vipers goli 1-0 katika mchezo...
SIMBA SC YAPOKEA KICHAPO CHA 3-1 NA RAJA CASABLANCA
KLABU ya wekundu wa msimbazi Simba SC imepoteza mchezo wake wa marudiano kwa kukubali kichapo cha magoli 3-1 dhidi ya Raja...
SIMBA YATEMBEZA ‘BOLI’ IKIICHAPA SINGIDA BIG STARS 3-1 KWA MKAPA
Timu ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Big Stars ya Mkoani Singida mchezo uliopigwa katika Dimba...
UJENZI WA UWANJA WA MAGOGO GEITA UMEKAMILIKA ASILIMIA 65%.
Na: Costantine James, Geita.Mkurugenzi wa halmashauri ya mji Geita Zahara Michuzi amesema ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu unaojengwa eneo la magogo ndani...
SIMBA SC YAMTAMBULISHA ROBERTINHO KUWA KOCHA MKUU
Timu ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC imemtangaza Kocha wa zamani wa Vipers SC ya Uganda Roberto Oliveira maarufu (Robertinho) kuwa Kocha Mkuu wa...