Home SPORTS ORODHA YA LIGI BORA AFRIKA, TANZANIA YA 10

ORODHA YA LIGI BORA AFRIKA, TANZANIA YA 10

 

Na: Stella Theopist

SHIRIKISHO  la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetangaza orodha ya Ligi Bora duniani kwa mwaka 2021, ambapo Ligi Kuu ya Brazil (Serie A) imeshika nafasi ya kwanza.

Katika orodha hiyo Ligi Kuu Tanzania Bara imepanda kwa nafasi tisa (9) kutoka nafasi ya 71 (2020) hadi nafasi ya 62 (2021) duniani huku kwa Bara la Afrika ikishika nafasi ya 10 na kusalia kuwa Ligi pekee kwenye 10 Bora ya Afrika kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Kwa upande wa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ‘CECAFA’ Ligi Kuu Tanzania Bara inashika nafasi ya kwanza

Previous articleSIMBA YAIADHIBU PRISONS 1-0 KWA MKAPA
Next articleWASAMBAZAJI WA BIDHAA ZA VIFAA VYA UJENZI WAONYWA KUPANDISHA BEI BILA SABABU ZA MSINGI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here