KOCHA TAIFA STARS ASIMAMISHWA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemfungia mechi nane Kocha wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Adel Amrouche.
Adhabu hiyo ilitolewa jana na Kamati...
GHANA MAMBO MAZITO AFCON
Timu ya Taifa ya Misri imetoka sare ya magoli 2 -2 na timu ya Taifa ya Ghana katika mchezo wa mzunguuko wa pili mashindano...
IVORY COAST 0-1 NIGERIA, AFCON
Wenyeji wa Michuano ya AFCON timu ya Taifa ya Ivory Coast imepokea kichapo cha bao 1-0 katika mchezo wa mzunguuko wa pili wa kundi...
DR-CONGO 1-1 ZAMBIA, AFCON
Miamba miwili ya soka Afrika, Timu ya Taifa ya DR Congo na timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, zimetoshana nguvu kwa kutoka sare...
MOROCCO 3-0 TAIFA STARS, AFCON
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza mchezo wa kwanza wa kundi F baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya...
MALI YAICHAPA SOUTH AFRICA 2-0 AFCON
Timu ya Taifa ya Mali imeibuka kidedea kwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Afrika Kusini katika mchezo wa...