KMC YATANGAZA JESHI KAMILI
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.UONGOZI wa timu ya KMC imetanga wachezaji wake 29 ambao watashiriki Katika msimu mpya 2021/2022 wa ligi kuu Tanzania...
YANGA KUKODI NDEGE KUWAFUATA WAPINZANI WAO
Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM.VIONGOZI ya Yanga SC wanatarajia kuondoka Ijumaa kwa ndege ya kukodi kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano Raundi...
KIUNGO WA SIMBA QUEEN ACHAGULIWA KIKOSI BORA CECAFA
Mwandishi wetu,Dar es SalaamKiungo wa timu ya Wanawake ya Simba Queen Danai Bhobho amejumuishwa kwenye kikosi bora Cha Michuano ya CAF Women's Champion League...
KALABA KUIONGOZA TP MAZEMBE SIMBA DAY
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.KIUNGO wa timu ya Taifa Zambia Rainford Kalaba atakuwa sehem ya wachezaji 23 wa TP Mazembe wanaotarajia kuja September...
YANGA YAAHIDI KUPINDUA MEZA NIGERIA
Na: Stella Kessy UONGOZI wa Yanga umesema kuwa Kwa sasa kikosi kipo tayari Kwa mchezo wa marudio dhidi ya Rivers United unaoatajiwa kuchezwa Nigeria, Septemba...
SIMBA KUENELEA KUWAWEKA FITI WACHEZAJI WAKE KWA MECHI ZA KIRAFIKI
Mwandishi wetuUONGOZI wa Simba umesema kuwa kucheza mechi za kirafiki ni kupata utimamu wa mwili pamoja na kujua maendeleo ya wachezaji wake.Kikosi hicho kinachonolewa...




