Home SPORTS KALABA KUIONGOZA TP MAZEMBE SIMBA DAY

KALABA KUIONGOZA TP MAZEMBE SIMBA DAY

Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

KIUNGO wa timu ya Taifa Zambia  Rainford Kalaba atakuwa sehem ya wachezaji 23 wa TP Mazembe  wanaotarajia kuja September 18 Kwa ajili  ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Simba Katika tamasha la Simba day litakalofanyika Jumapili Katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo nyota huyo ambaye ni miongoni mwa wachezaji wakongwe wa timu hiyo atakuwa sehemu ya msafara huo ambao pia utakuwa na viongozi 12 na kufanya msafara huo kuwa na watu 35.

Pia Simba imekuwa na mahusiano mazuri na timu hiyo  kutoka Congo na mara kadhaa  imekuja ikicheza nayo michezo ya kirafiki,lakini pia mara ya mwishon kikosi hicho kuja nchini ni mwanzoni mwa mwaka huu ambapo ilikuja kishiriki  mashindano ya Super Cup yaliyoandaliwa na Simba.

Previous articleYANGA YAAHIDI KUPINDUA MEZA NIGERIA
Next articleDC MSANDO WAMACHINGA WATAPA MAENEO BILA RUSHWA LEO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here