Home SPORTS YANGA YAAHIDI KUPINDUA MEZA NIGERIA

YANGA YAAHIDI KUPINDUA MEZA NIGERIA

Na: Stella Kessy 

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa Kwa sasa kikosi  kipo tayari Kwa mchezo wa  marudio dhidi ya Rivers United unaoatajiwa kuchezwa Nigeria, Septemba 19.

Kikosi hicho ambacho kinayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilipoteza mchezo wa awali walipoteza nyumbani Kwa  0-1 Rivers, United.

Mchezo wa pili unatarajiwa kuwa na ushindani kwa timu zote mbili kwa kuwa kila timu inasaka ushindi.

Akizungumza katika kipindi cha michezo Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara ameweka wazi kuwa Yanga bado ina nafasi ya kufanya vyema katika mchezo huo wa marudiano huku  akiwaomba mashabiki wa timu hiyo kuendelea kuwa bega kwa bega.

Aliongeza kuwa licha ya kuwa watakuwa ugenini lakini wana nafasi kubwa ya kupata ushindi Katika mechi ya marudiana.

Previous articleRC SENYAMULE ATOA MAAGIZO UKARABATI STENDI YA MABASI GEITA.
Next articleKALABA KUIONGOZA TP MAZEMBE SIMBA DAY
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here