Home SPORTS KIUNGO WA SIMBA QUEEN ACHAGULIWA KIKOSI BORA CECAFA

KIUNGO WA SIMBA QUEEN ACHAGULIWA KIKOSI BORA CECAFA

 Mwandishi wetu,Dar es Salaam

Kiungo wa timu ya Wanawake ya Simba Queen Danai Bhobho amejumuishwa kwenye kikosi bora Cha Michuano ya CAF Women’s Champion League Ouelifier 2021 iliyomalizika wiki iliyopita nchini Kenya.

Daina  ni mchezaji ambaye Simba imemsajili msimu huu kutoka nchini Zimbabwe Kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ligi ya Wanawake ‘Serengeti lite Women’sPrimier League”.

Hata hivyo kiungo huyo  ni mchezaji pekee ambaye ameingia kwenye kikosi bora cha  mashindano kutokana na ubora aliouonyesha licha ya ugeni wake kikosini.

Katika mashindano hayo yaliyofanyika kwenye viwanja viwili ya nyayo na Kisarani jijini Nairobi pia hivi karibuni kikosi Cha Simba kimemaliza kikiwa nafasi ya nne.

Previous articleWAFANYABIASHA RUKWA LIPENI KODI KWA WAKATI- RC MKIRIKITI
Next articleZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here