NHC

SPORTS

Home SPORTS Page 112

BIASHARA UTD YAICHAPA 1-0 FC DIKHIL KWAO

0
Na: Stella Kessy.TIMU ya Biashara United leo imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, FC Dikhil katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali...

HITIMANA AONGEZWA BENCHI LA UFUNDI SIMBA

0
Na: Mwandishi wetu,DodomaKLABU ya Simba imeimarisha Benchi lake la ufundi kwa kumteua  kocha  Hitimana Thiery kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo inayoshiriki Ligi ya...

MASHABIKI YANGA RUKSA MECHI DHIDI YA RIVERS UTD

0
Mwandishi wetu.KLABU ya Yanga SC imeruhusiwa kuingiza mashabiki katika mchezo wake dhidi ya Rivers United ya Nigeria.Kikosi cha Yanga kitakuwa mwenyeji wa mchezo huo...

SIMBA QUEEN Vs LADY DOVES PATACHIMBIKA LEO.

0
 Na: Mwandishi wetu, NAIROBI.KIKOSI cha Simba Queen leo kitashuka dimbani kuchuana na  Lady Doves katika mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu  katika Michuano ya  Klabu...

SIMBA NA COASTAL HAKUNA MBABE

0
Mwandishi wetu,Arusha.MABINGWA wa ligi kuu Tanzania bara  leo wametoka sare ya bila kufungana katika mechi ya kirafiki dhidi ya Coastal Union katika mchezo uliochezwa ...

DJUMA SHABAN, AUCHO NA FISTON KUIKOSA RIVERS UTD.

0
Stella Kessy,Dar es Salaam.UONGOZI  wa Yanga umethibitisha kuwakosa wachezaji  wake watatu kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United utakaopigwa  Septemba12...

POPULAR POSTS

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea SPORTS