AZAM FC YAICHAPA HORSEED 3-1
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Horseed ya Somalia katika mchezo wa kwanza Raundi ya...
RATIBA YA MAZISHI YA HANS POPPE
Ratiba ya kumpumzisha Zakaria Hans Poppe aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ndani ya timu ya Simba aliyefariki Dunia usiku wa Septemba 10,2021 katika...
RC MAKALLA AJITWISHA MGOGORO KATI YA WANANCHI NA MSITU WA PUGU...
- Asema azma ya Serikali ya awamu ya sita Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kutatua Migogoro ya Wananchi.- Ataka Mgogoro huo kufika...
AZAM KUKIPIGA LEO DHINI YA HORSEED
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.KIKOSI cha Azam FC leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Horseed FC katika michuano ya Kombe...
CAF YAZUIA MASHABIKI YANGA
Mwandishi wetu.SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limezuia watazamaji katika mechi ya kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya wenyeji, Yanga SC...
HANSPOPE AFARIKI DUNIA
DAR ES SALAAM.Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya klabu ya Simba, Zakaria Hanspope amefariki dunia leo katika hospitali ya Agha Khan alipokuwa amelazwa..