DKT. MWAMBA: TANZANIA NA UJERUMANI KUENDELEZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Kimaendeleo ya Shirikisho...
SOKA KARIAKOO KUFUNGULIWA RASMI FEBRUARI 2025
DAR ES SALAAM
SOKO la Kariakoo linatarajiwa kufunguliwa rasmi mwezi februari mwaka huu, baada ya kukamilika kwa ukarabati wake kufuatia ajali ya moto iliyotokea Julai...
AZIMIO LA NISHATI (MISSION 300) KUPITISHWA FEBRUARI
NA MWANDISHI WETU
MKUTANO wa viongozi wa Umoja wa Afrika (AU), utakaofanyika mwezi Februari mwaka huu, pamoja na ajenda nyingine unatarajiwa kupitisha rasmi Azimio...
MANISPAA YA KAHAMA YARIDHISHWA NA MCHAKATO WA UFUNGAJI WA MGODI WA...
Meneja Uhusiano wa Jamii na Miradi wa Barrick Buzwagi, Stanley Joseph, akionyesha Maofisa kutoka manispaa ya Kahama sehemu za mgodi zilivyoboreshwa kwa ajili ya...
MKUTANO WA NISHATI SAFI WATOA FURSA KUBWA KWA SEKTA YA UTALII
Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam.
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema kwa kipekee kuwa mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati...
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA IMF
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa...