WHAT'S NEW
WADAU WAENDELEA KUJITOKEZA KUCHAGIZA MAAFA HANANG
ACCESSORIES
MAHAKAMA KUU KANDA YA SONGEA YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA MFARANYAKI
WAKATI TANZANIA WANALUMBANA, KENYA MBIONI KUSAINI MIKATABA YA UWEKEZAJI NA DUBAI
WINDOWS PHONE
WAKANDARASI,MIRADI YA MAJI WAISHUKURU SERIKALI
LATEST ARTICLES
NHC INAVYOKWENDA KUGEUZA ENEO LA URAFIKI KISASA
Na mwandishi wetu UKIONA vyaelea ujue vimeundwa! Hii ndiyo methali inayoweza kuelezea hatua ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kununua eneo la Urafiki lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kwa lengo la kufanya uwekezaji mkubwa unaolenga kuboresha mandhari na maisha ya wananch. NHC imejipatia sifa nzuri miongoni mwa Watanzania kutokana na ubunifu wake, utekelezaji, na usimamizi wa miradi...
NHC INAVYOKWENDA KUGEUZA ENEO LA URAFIKI KISASA
Na mwandishi wetu UKIONA vyaelea ujue vimeundwa! Hii ndiyo methali inayoweza kuelezea hatua ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kununua eneo la Urafiki lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50 kwa lengo la kufanya uwekezaji mkubwa unaolenga kuboresha mandhari na maisha ya wananch. NHC imejipatia sifa nzuri miongoni mwa Watanzania kutokana na ubunifu wake, utekelezaji, na usimamizi wa miradi...
BANDARI YA DSM YAPOKEA MELI KUBWA YA MIZIGO
Meli kubwa ya mizigo ya MSC ADU -V yenye urefu wa mita 294.1 na uwezo wa kubeba makontena 4000 ikiwasili katika Bandari ya Dar es Salaam jana. Mkuu wa Kitengo cha Uratibu kutoka Kampuni ya DP WORLD, Bw. Emmanuel Kakuyu (kushoto) akizungumza na Meneja Mizigo Mchanganyiko wa Bandari ya Dar es Salaam chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini...
UN WOMEN’S YATOA MAPENDEKEZO YAKE YA MISWADA YA UCHAGUZI NA VYAMA VYA SIASA 2023 KWA MLENGO WA JINSIA
Mwezeshaji na Mtaalam Kutoka Chuo Kikuu Huria Tanzania, aliyeongoza kuandaa miswada mitatu ya uchaguzi na vyama vya siasa, 2023 katika mlengo wa Kijinsia. Dkt. Victoria Lihiru, akitoa mada juu ya uchambuzi na mapendekezo ya miswada hiyo kwa Wahariri wa Habari, katika Kikao kazi kilichoandaliwa na UN WOMEN'S chini ya Mradi wa 'Wanawake Wanaweza' mradi wa Uongozi na Haki za...
UN WOMEN YASISITIZA KUFANYIWA KAZI MAPENDEKEZO YA KONGAMANO LA AfCFTA LILILOFANYIKA JIJINI DAR
Mwakilishi Mkazi wa UN Women Tanzania Hodan Addou (kushoto) akizungumza alipokuwa akiongoza mkutano wa wanawake kutoka katika nchi mbalimbali Barani Afrika kujadili changamoto zinazowakabili wanawake na vijana katika Biashara na kupokea maoni ya wadau hao namna ya kufanyiakzi changamoto. Kikao hicho kilifanyika Septemba 14,2022 wakati wa kuhitimisha Kongamano la Afrika la Wanawake na Vijana katika Biashara chini ya Sekretarieti...
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 26, DISEMBA 2024.
http://HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 26, DISEMBA 2024.
TUZITUNZE TUNU ZA UPENDO, UMOJA NA AMANI: BASHUNGWA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuishi kwa kutunza tunu za upendo, umoja, amani na kufanya matendo ya huruma. Bashungwa ameeleza hayo wakati alipoungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Kiruruma katika Ibada ya Krismasi, leo tarehe 25 Disemba 2024. “Tukipendana tutakuwa wamoja, tukipendana tukawa wamoja tutakuwa na amani, lakini kuna tunu...
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA KRISMAS DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Sikukuu ya Krismasi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma tarehe 25 Desemba 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na waumini mara baada ya...
CFAO MOBILITY TANZANIA LAUNCHES FESTIVE SEASON ROAD SAFETY DRIVE WITH MULTI – POINT VEHICLE HEALTH CHECK
As the festive season approaches, CFAO Mobility Tanzania is helping drivers ensure safer journeys with its 10-Point Vehicle Health Check. Designed to enhance road safety during one of the busiest travel periods, the initiative offers free health checks exclusively for Suzuki, Volkswagen, and Mercedes-Benz vehicles manufactured from 2014 onwards. The program, valid until December 31, 2025, reflects CFAO Mobility Tanzania’s...
MALIPO YANAYOFANYWA KWA KUTUMIA MASHINE ZA POS
http://MALIPO YANAYOFANYWA KWA KUTUMIA MASHINE ZA POS
DKT PHILIP ASHIRIKI MAZISHI YA BI MARGRET NTIBAYIZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango leo tarehe 24 Desemba 2024 ameshiriki Mazishi ya Bi. Margret Ntibayizi ambaye ni Mama wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Peter Serukamba yaliyofanyika Mwandiga mkoani Kigoma. Akitoa salamu za rambirambi katika msiba huo, Makamu wa Rais amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...