Home BUSINESS BRELA YAWAPIGA MSASA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

BRELA YAWAPIGA MSASA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

 

Afisa Usajili kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Lumambo Shiwala akitoa elimu ya Usajili wa Majina ya Biashara na Makampuni mapema leo 24 Juni, 2021 kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake wajasiriamali toka mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani, Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Mfuko wa Fursa Sawa kwa wote (EOTF). Mafunzo hayo yaliyofunguliwa rasmi tarehe 23 Juni, 2021 katika ukumbi Mgulani JKT jijini Dar es Salaam na yanatarajia kuhitimishwa tarehe 25 Juni, 2021.

Previous articleWANAWAKE WATAKIWA KUWA MAWAKILI WA MAADILI WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MAJUKUMU YA FAMILIA ZAO.
Next articleRC ATAKA MALEZI NA MAKUZI YA WATOTO KUWA YA WAZAZI WOTE WAWILI.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here