Home BUSINESS NAIBU WAZIRI MKUU DOTO BITEKO ATEMBELEA BANDA LA STAMICO MAONESHO YA MADINI...

NAIBU WAZIRI MKUU DOTO BITEKO ATEMBELEA BANDA LA STAMICO MAONESHO YA MADINI GEITA

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO wakati alipotembelea katika banda hilo katika hafla ya ufunguzi wa maonesho ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita leo Jumamosi 23,2023.

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye hafla ya ufunguzi wa maonesho ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita leo Jumamosi 23,2023.

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akielekea katika banda la  Shirika la Madini Tanzania STAMICO wakati alipotembelea katika  maonesho ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita leo Jumamosi 23,2023.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO Dkt. Venance Mwase Meneja Masoko na Mawasiliano wa STAMICO Bw. Geofrey Meena wakiwa wamekaa pamoja na wafanyakazi wa shirika hilo katika maonesho ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita ambapo STAMICO inashiriki katika maonesho hayo.

Wananchi mbalimbali wakipata maelezo walipotembelea katika banda la STAMICO  kwenye maonesho ya madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita.

MKurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO Dkt. Venance Mwase  akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa kikundi cha Wachimbaji wadogo wanawake TAWOMA katika maonesho ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya Bombambili mjini Geita ambapo STAMICO inashiriki katika maonesho hayo.

Previous articleBRELA YAAGIZWA KUSHIRIKIANA KATIKA KUWEZESHA WAFANYABIASHARA
Next articleGST: MADINI NI MAISHA, UTAJIRI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here