Home BUSINESS KAIMU AFISA MTENDAJI MKUU VIPIMO (WMA) NA MKURUGENZI MKUU WA TANTRADE WATEMBELEA...

KAIMU AFISA MTENDAJI MKUU VIPIMO (WMA) NA MKURUGENZI MKUU WA TANTRADE WATEMBELEA BANDA LA BRELA GEITA

Kaimu Afisa Mtendaji mkuu wa Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) B.Stella Kahwa (wa pili kulia) akisaini katika kitabu cha wageni katika Banda la BRELA alipofikia kutembelea banda hilo. Pamoja naye ni Mkurugenzi Mtendaji wa TANTRADE Bi. Latifa khamis (wa kwanza kulia) akisubiri kusaini kitabu hicho, (kushoto) ni, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Elimu kwa Umma wa BRELA Rhoida Andusamile.

Afisa Usajili wa BRELA Bethod Bangahanose akiwa katika majukumu yake kutoa huduma kwa wananchi waliofika katika Banda la Taasisi hiyo kurasimisha Biashara zao.

Afisa Biashara wa BRELA Pool Peter akitoa huduma kwa mteja aliyefika katika Banda la Taasisi hiyo leo Octoba 3,2022.

Afisa Tehama Mwandamizi wa BRELA Andrew Godfriend katika majumu yake.

Previous articleRC SHIGELA ATEMBELEA BANDA LA BUCKREEF KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA
Next articleTCU YAFUNGUA DIRISHA LA NNE LA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here