Home BUSINESS RC SHIGELA ATEMBELEA BANDA LA BUCKREEF KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA

RC SHIGELA ATEMBELEA BANDA LA BUCKREEF KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela (mwenye shati la Kitenge) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Rasilimali watu wa Kampuni ya uchimbaji Madini ya Dhahabu ya BUCKREEF Amelda Msuya (kushoto) wakati Mkuu huyo wa Mkoa alipofanya ziara katika Banda la Kampuni hiyo Octoba 2,2022 kujionea shughuli wanazofanya katika Maonesho ya tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika Mkoani Geita 

Meneja Rasilimali watu wa Kampuni ya uchimbaji Madini ya Dhahabu ya BUCKREEF Amelda Msuya (wa pili kulia) akielezea Shughuli zinazofanywa na Kampuni yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela (kulia) aliyetembelea Banda lao katika Maonesho ya Madini Mkoani Geita. (wa kwanza kulia) ni, Meneja Rasilimali watu wa BUCKREEF Domilitila Mang’ondi, na (wa tatu kushoto) Afisa usalama wa Mgodi huo Charles Kafuku.

Picha ya pamoja 

 

 

Previous articleRC SHIGELA ATEMBELEA BANDA LA BoT MAONESHO YA MADINI GEITA
Next articleKAIMU AFISA MTENDAJI MKUU VIPIMO (WMA) NA MKURUGENZI MKUU WA TANTRADE WATEMBELEA BANDA LA BRELA GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here