Home SPORTS YANGA YATOKA SARE YA 2-2 NA KMKM MAPINDUZI CUP

YANGA YATOKA SARE YA 2-2 NA KMKM MAPINDUZI CUP


Na: Stella Kessy

DAKIKA 90 zimekamilika kwa Yanga kugawana pointi mojamoja na KMKM katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan.

Mabao ya Heritier Makambo dakika ya 45 na liliwafanya waweze kwenda mapumziko wakiwa wanaongoza.

Bao la KMKM la ufunguzi lilikuwa ni kupitia kwa Abdlahaman Ali ilikuwa ni dakika ya 55.

Feisal Salum alipachika bao dakika ya 81 na kuwafanya Yanga waamini kwamba wamemaliza kazi ila mambo yakawa tofauti.

Kabla ya mchezo kuisha KMKM walipachika bao la kushtukiza dakika za lala salama na kufanya ubao kusoma Yanga 2-2 KMKM ilikuwa ni dakika ya 90.

Previous articleSIMBA KUSHUKA DIMBANI TENA DHIDI YA MLANDEGE
Next articleMHE UMMY MWALIMU AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI ILIYOPO SARUJI, KATA YA MAWENI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here