Home SPORTS RAIS DKT. SAMIA ANAGUSWA NA MAISHA YA WATANZANIA-MAJALIWA

RAIS DKT. SAMIA ANAGUSWA NA MAISHA YA WATANZANIA-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 18, 2024 amezungumza na wakazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Rais Dkt. Samia Samia Suluhu Hassam anaguswa na maisha ya Watanzania na anataka kuona watanzania wanahudumiwa.

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa amewaeleza wakazi hao kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia ipo imara na inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kuangalia mahitaji ya kila eneo nchini na kuyafanyia kazi

Previous articleTANZANIA COMMERCIAL BANK, LIFE INSURANCE WAZINDUA ‘ADABIMA’ KUMSAIDIA MWANANCHI KULIPA ADA ZA SHULE
Next articleMAJALIWA: WATANZANIA TUJIWEKEE UTARATIBU WA KUFANYA MAZOEZI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here