HABARI KUU ZILIZOTAWALA MAGAZETI YA LEO J.TATU MEI 17-2021.

0

 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

KANISA LA BCC TAG NYANTILA LAANDAA ‘NYAMA CHOMA DAY’ KWA VIJANA.

0

Mchungaji wa Kanisa la BCC TAG lililopo Nyantila Jijini Dar es Salaam Eliya Mwangosi akiongoza Ibada maalum ya vijana mbalimbali wakati wa Sherehe ya kuchoma nyama (NYAMA CHOMA DAY) iliyofanyika kanisani hapo sambamba na mafunzo mbalimbali ya kujitambua. Kundi la tatu lilikuwa la vijana wa kiume kwanzia chuo na kuendelea amabao hawajaowa walifundishwa na na Mchungaji...

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE SHEREHE YA KUMUWEKA WAKFU ASKOFU WA ANGLIKANA MWANZA.

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Baadhi ya Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania alipowasli katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria...

MKURUGENZI MTENDAJI LHRC AWAFUNDA VIJANA DAR NA PWANI

0

 Mtendaji Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Bi. Anna Henga (katikati) akizungumza na vijana alipokuwa akifungua Kongamano la Vijana toka Vyuo Vikuu, Vyuo vya Kati na Sekondari jijini Dar es Salaam lililoandaliwa na Club inayohamasisha Elimu na Maadili kwa Vijana (EEMC) Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani.Mtendaji Kituo cha Sheria na Haki...

ZAIDI YA WANANCHI ELFU 27 WAPATIWA ELIMU KUHUSU UBORA WA BIDHAA KWENYE WILAYA YA KILOSA,MKINGA NA BAGAMOYO.

0

WANAFUNZI wa shule za Msingi na Sekondari 15,526 na wananchi 12,250 wanaoendesha shughuli zao kwenye maeneo yenye mikusanyiko mikubwa ya watu, kama stendi, kwenye masoko, minada,magulio katika maeneo mbalimbali ya Wilaya za Kilosa, mkoani Morogoro, Bagamoyo mkoani Pwani na Mkinga, Tanga wamepewa elimu kuhusiana na umuhimu wa kutumia bidhaa zilizothibitishwa ubora na kusajiliwa...