Home LOCAL MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE SHEREHE YA KUMUWEKA...

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE SHEREHE YA KUMUWEKA WAKFU ASKOFU WA ANGLIKANA MWANZA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Baadhi ya Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania alipowasli katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza, iliyofanyika leo Mei 16,2021 katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza.kulia ni Mama Mbonimpaye Mpango.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akihutubia Waumini wa Dini ya Kikristo na Watanzania alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye  Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza, iliyofanyika leo Mei 16,2021 katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiagana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Mhashamu Maimbo William Mndolwa wakati alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu wa Tano wa Dayosisi ya Victoria Nyanza, iliyofanyika leo Mei 16,2021 katika Kanisa la Anglikana Jijini Mwanza.kulia ni Mama Mbonimpaye Mpango.


Previous articleMKURUGENZI MTENDAJI LHRC AWAFUNDA VIJANA DAR NA PWANI
Next articleKANISA LA BCC TAG NYANTILA LAANDAA ‘NYAMA CHOMA DAY’ KWA VIJANA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here