Home LOCAL KANISA LA BCC TAG NYANTILA LAANDAA ‘NYAMA CHOMA DAY’ KWA VIJANA.

KANISA LA BCC TAG NYANTILA LAANDAA ‘NYAMA CHOMA DAY’ KWA VIJANA.


Mchungaji wa Kanisa la BCC TAG lililopo Nyantila Jijini Dar es Salaam Eliya Mwangosi akiongoza Ibada maalum ya vijana mbalimbali wakati wa Sherehe ya kuchoma nyama (NYAMA CHOMA DAY) iliyofanyika kanisani hapo sambamba na mafunzo mbalimbali ya kujitambua. 


Kundi la tatu lilikuwa la vijana wa kiume kwanzia chuo na kuendelea amabao hawajaowa walifundishwa na na Mchungaji wa vijana Gidion Mwangosi juu ya kijana anacho paswa kufanya unapotaka kuingia kwenye ndoa.
Nyama choma ikiandaliwa tayari kwa kuliwa na vijana hao. 
 

Kundi la vijana wa kiume wa vyuo na kuendelea amabao hawajaoa wakifundishwa na Mchungaji wa Vijana Gidion Mwangosi juu ya kijana anachopaswa kufanya anapotaka kuingia kwenye masuala ya ndoa.

Vijana mbalimbali wa Kanisa hilo wakiendelea na zoezi la kula nyama huku wakimsikiliza mafundisho mbalimbali.kutoka kwa watoa mada mbalimbali.

Previous articleMAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE SHEREHE YA KUMUWEKA WAKFU ASKOFU WA ANGLIKANA MWANZA.
Next articleKutoka Wizara ya Afya: TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA MKATABA KUPITIA UFADHILI WA GLOBAL FUND NA IVD/GAVI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here