DKT. GWAJIMA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MKOA WA IRINGA QUEEN SENDIGA JIJINI DODOMA.

0

DODOMAWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen Sendiga Kwenye ofisi za Wizara jijini Dodoma.Viongozi hao wamejadili mwenendo wa utoaji huduma za afya, hali ya watumishi na dawa pamoja na maboresho ya miundombinu kwenye vituo vya kutolea huduma za afya  Katika...

MEYA JIJI LA DAR ES SALAAM AFANYA ZIARA YA KIKAZI ZAHANATI YA KITUNDA.

0

 Na: Juma Mizungu, PuguMedia.Meya Jiji la Dar es salaam Mhe Omary Kumbilamoto amefanya ziara ya kikazi katika Zahanati ya Kitunda, Lengo la ziara hiyo ni kujionea jinsi gani ya utoaji wa huduma katika Zahanati hiyo.Zahanati ya Kitunda ni moja ya Zahanati zinazofanya vizuri kwasasa Kitaifa na imeshika nafasi ya 3 katika utoaji wa huduma pamoja na Data kitaifa, inahudumu...

BRELA YAFANYA USAJILI WA MOJA KWA MOJA NA KUTOA VYETI JIJINI TANGA

0

Bi Eugenia Mkumbo (kushoto) akipokea cheti cha mabadiliko ya usajili wa jina la biashara kutoka umiliki binafsi kwenda  umiliki wa kampuni   kutoka  kwa Afisa  Usajili Msaidizi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bi. Maryglory Mmary (kulia), baada ya kukamilisha taratibu zote  za usajili katika banda la BRELA kwenye maonesho ya Biashara yanayofanyika katika kiwanja cha Mwahako...

KARIBU USOME HABARI MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNI 3-2021

0

Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

JAMII YAASWA KUTUNZA MAZINGIRA KWA KUTUMIA NISHATI MBADALA ILI KUOKOA MFUMO WA IKOLOJIA

0

 Mhandisi Mwandamizi wa Baraza la Taifa la usimamizi wa mazingira (NEMC) kanda ya Kaskazini Nancy Nyenga akiobgea na waandishi wa Habari Mkoani Arusha.NA: NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.Katika kuelekea kilele cha siku ya mazingira Duniani inayotarajiwa kufanyika June 5 imeelezwa kuwa hakuna dunia nyingine zaidi ya hii hivyo ni jukumu la kila mtu kutunza mazingira kwa ustawi wa afya na maendeleo...

WANANCHI KATA YA MILO WAOMBA ELIMU YA UWATIKAJI.

0

Diwani wa kata ya Milo Robert Njavike akiongea na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa kujadili changamoto na maendeleo ya kata hiyoWananchi mbalimbali wa kata ya Milo Wilayani Ludewa wakimsikiliza Diwani wao Robert Njavike kwenye mkutano wa hadhala uliofanyika Juni 2 kwenye Kijiji cha Mapogolo kata ya Milo.Na: Damian Kunambi, NJOMBE.Ikiwa zimepita siku chache toka diwani wa kata...