Home BUSINESS BRELA YAFANYA USAJILI WA MOJA KWA MOJA NA KUTOA VYETI JIJINI...

BRELA YAFANYA USAJILI WA MOJA KWA MOJA NA KUTOA VYETI JIJINI TANGA

Bi Eugenia Mkumbo (kushoto) akipokea cheti cha mabadiliko ya usajili wa jina la biashara kutoka umiliki binafsi kwenda  umiliki wa kampuni   kutoka  kwa Afisa  Usajili Msaidizi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bi. Maryglory Mmary (kulia), baada ya kukamilisha taratibu zote  za usajili katika banda la BRELA kwenye maonesho ya Biashara yanayofanyika katika kiwanja cha Mwahako jijini Tanga. Maonesho haya yaliyoanza Mei 28, 2021, yatahitimishwa rasmi Juni 6, 2021.


Previous articleKARIBU USOME HABARI MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNI 3-2021
Next articleMEYA JIJI LA DAR ES SALAAM AFANYA ZIARA YA KIKAZI ZAHANATI YA KITUNDA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here