Home LOCAL DKT. GWAJIMA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MKOA WA IRINGA QUEEN SENDIGA...

DKT. GWAJIMA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA MKOA WA IRINGA QUEEN SENDIGA JIJINI DODOMA.


DODOMA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Queen Sendiga Kwenye ofisi za Wizara jijini Dodoma.

Viongozi hao wamejadili mwenendo wa utoaji huduma za afya, hali ya watumishi na dawa pamoja na maboresho ya miundombinu kwenye vituo vya kutolea huduma za afya  Katika mkoa wa Iringa.

Katika kikao hicho Mkuu wa mkoa aliambatana na Katibu Tawala wa mkoa  Bi. Happynes Seneda.
Previous articleMEYA JIJI LA DAR ES SALAAM AFANYA ZIARA YA KIKAZI ZAHANATI YA KITUNDA.
Next articleRAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA UJUMBE MAALUMU KUTOKA KWA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here