Home BUSINESS TMDA YAKAMATA SHEHENA YA SIGARA BANDIA KUTOKA CONGO

TMDA YAKAMATA SHEHENA YA SIGARA BANDIA KUTOKA CONGO

Sigara yenye nembo ya biashara ya Supermatch kutoka nchi ya Congo, iliyokamatwa baada ya kuingia nchi

Na: Mwandishi Wetu.

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa Magharibi imekamata bidhaa za tumbaku aina ya Sigara bandia zenye thamani ya Bilioni 1.8, zilizotokea nchi ya Congo.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka TMDA, zimebainisha kuwa baada ya kupokea taarifa ya kontena lenye bidhaa za tumbaku lililozuiliwa katika ofisi ya TRA Shinyanga, imebaini kuwa sigara hizo ni bandia na zimeingizwa nchini kutoka nchi jirani ya Kongo.

ambapo kuna makasha 2200 yenye thamani ta TZS 1.8 Billioni na uzito tani 13.2.” Ilisema taarifa hiyo.

Hatua zaidi zinaendelea mzigo umezuiliwa” Ilimalizia taarifa hiyo.

Mwisho.

Previous articleMAGAZETI YA LEO JUMATANO SEPTEMBA 28-2022
Next articleKATIBU MKUU MADINI AWAALIKA WACHIMBAJI WADOGO KUSHIRIKI MAONESHO YA MADINI GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here